Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Gaza Kati ya Kuzingirwa Kikatili, Njaa ya Kimfumo, na Wajibu wa Kisharia kwa Umma na Majeshi Yake

Gaza Kati ya Kuzingirwa Kikatili, Njaa ya Kimfumo, na Wajibu wa Kisharia kwa Umma na Majeshi Yake

Tangu Oktoba 2023, Gaza inaishi moja ya majanga makubwa ya kibinadamu katika enzi ya kisasa, ambapo zaidi ya watu milioni mbili wamezingirwa, wakiachwa kuwa mawindo ya njaa, kiu, ugonjwa na uharibifu. Ripoti za Umoja wa Mataifa na Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka na mashirika mengine ya kibinadamu zinathibitisha kwamba wakaazi wa Gaza wanakabiliwa na njaa kubwa, huku vifo vya watoto vikiripotiwa kutokana na utapiamlo na upungufu wa maji mwilini, na ukosefu wa dawa na chakula.

Abu Wadaha News: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yaandaa Mkutano Kuhusu Ulazima wa Kuwasaidia Watu wa Gaza Katika Soko Kuu la Port Sudan

Abu Wadaha News: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yaandaa Mkutano Kuhusu Ulazima wa Kuwasaidia Watu wa Gaza Katika Soko Kuu la Port Sudan

Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan, iliandaa mkutano wa kisiasa katika jiji la Port Sudan, Jumatatu hii, 03 Safar 1447 Hijria, inayolingana na 2025/07/28 Miladia, mkutano wa kisiasa wenye kichwa: (Ulazima wa Kuwasaidia Watu wa Gaza). Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, Ustadhi Muhammad Jami Abu Ayman, alihutubia umati wa waliohudhuria katika uwanja wa Hoteli ya Haramain huko Port Sudan, ambapo alianza hotuba yake kwa kuwakumbusha Waislamu kuhusu udugu wa Kiislamu, na ulazima wa kuwasaidia Waislamu popote walipo, na pia aliwakumbusha kuhusu safari ya usiku ya Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم, na kwamba yeye ndiye

Abu Wadaha News: Serikali ya Muungano wa Msingi ni Hatua ya Juu katika Kuharakisha Mpango wa Marekani wa Kuitenganisha Darfur, Taarifa kutoka Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan

Abu Wadaha News: Serikali ya Muungano wa Msingi ni Hatua ya Juu katika Kuharakisha Mpango wa Marekani wa Kuitenganisha Darfur, Taarifa kutoka Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan

Vikosi vya Msaada wa Haraka vilitangaza kupitia muungano wao unaoitwa Muungano wa Msingi wa Sudan "Uanzishwaji", Jumamosi 26/7/2025 BK, uteuzi wa rais na makamu wa rais wa baraza la urais, na waziri mkuu, ambayo inamaanisha kuunda serikali sambamba na mamlaka inayoendeshwa na jeshi kutoka Port Sudan, mashariki mwa nchi. Muungano huo unaundwa na mashirika ya kijeshi, kisiasa na kiraia, maarufu zaidi ni Vikosi vya Msaada wa Haraka, na Harakati ya Watu - Kaskazini, ambapo mkataba wake wa msingi ulisainiwa Februari iliyopita, katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

Na Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye Utukufu Wote

Na Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye Utukufu Wote

Siku ya Alhamisi, Baraza la Seneti lilipitisha kwa kauli moja azimio la kulaani tukio la kuuawa kwa wanandoa wawili mchana kweupe kwa amri ya baraza la jirga kwa jina la kile kinachoitwa "uhalifu wa heshima" huko Balochistan. Azimio hilo lilisema kuwa uhalifu huu wa kinyama hauwezi wala haupaswi kufichwa chini ya kisingizio chochote cha kiutamaduni, kikabila au kimapokeo, kwa kisingizio cha kile kinachoitwa "wivu" au "heshima". Kwa hakika ni uhalifu ambao umeudhalilisha sana heshima ya taifa. Jaribio lolote la kuhalalisha uhalifu huu kwa msingi wa "desturi au heshima" limekataliwa kabisa, kama ilivyo kwa mchakato mzima wa kulaumu mhasiriwa.

194 / 10603