Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Ziara ya Asim Munir mjini Cairo ni hatua katika utekelezaji wa maono ya Trump kwa Mashariki ya Kati

Ziara ya Asim Munir mjini Cairo ni hatua katika utekelezaji wa maono ya Trump kwa Mashariki ya Kati

Katika utekelezaji wa maono ya Trump kwa Mashariki ya Kati, ambayo anaona kwamba chombo cha Kiyahudi kinapaswa kuuzwa katika nchi za Kiislamu baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida nazo, na kuingiza mifumo yote iliyopo katika nchi za Waislamu ndani ya kile kinachoitwa Maono ya Ibrahimu, hivi karibuni kumekuwa na muunganiko kati ya mawakala wa Amerika huko, kwa lengo la kufikia ndoto za Trump katika eneo hilo. Katika muktadha huu, Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi - ambaye Trump alimtaja kama dikteta wake anayempenda - alimpokea katika Ikulu ya Ittihadiya, Marshal Asim Munir, ambaye alimteua "mchinjaji wa Gaza" Trump.

Mwaliko wa Adui wa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waislamu Unastahili Ghadhabu na Hasira za Mwenyezi Mungu - Mche Mwenyezi Mungu Ewe Waziri Mkuu wa Malaysia!

Mwaliko wa Adui wa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waislamu Unastahili Ghadhabu na Hasira za Mwenyezi Mungu - Mche Mwenyezi Mungu Ewe Waziri Mkuu wa Malaysia!

Hizb ut-Tahrir / Malaysia inalaani vikali mwaliko uliotumwa na Waziri Mkuu wa Malaysia, Dato' Seri Anwar Ibrahim, kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye mikono yake bado imelowa damu ya Waislamu huko Gaza, kwenda Malaysia kuhudhuria Mkutano wa Arobaini na Saba wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) huko Kuala Lumpur. Mwaliko huu sio tu ishara ya aibu ya kidiplomasia ambayo haina msingi wowote wa kimaadili; bali ni dharau kubwa kwa heshima ya taifa hili, na usaliti unaoumiza hisia za kila Muislamu ambaye bado anabeba heshima karibu na moyo wake,

39 / 10603