Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Abbas kutoka kwenye kiota cha maadui wa Uislamu "Paris" anasisitiza juu ya jukumu la uhalifu la mamlaka katika kutekeleza sera za Amerika na Wayahudi ambazo zinalenga kumaliza suala la Palestina na kuwatenganisha watu wa Palestina na watoto wao na Uislamu na umma wa Kiislamu

Katika mkutano uliomjumuisha Abbas na Macron huko Paris siku ya Jumanne 2025/11/11, ambapo alitangaza "kuundwa kwa kamati ya pamoja kati ya Ufaransa na Palestina kuandaa katiba ya Dola ya Palestina" (Al Jazeera Mubasher), Abbas anachochewa na historia ya nchi zilizoundwa katika eneo hilo, ambazo zimechukua katiba za Magharibi kama msingi wa sheria, na wamechukua

Changamoto za Jumuiya ya Waislamu nchini Ufaransa na mpango wa EVARS

Changamoto za Jumuiya ya Waislamu nchini Ufaransa na mpango wa EVARS

Kuanzia mwaka wa masomo wa sasa 2025-2026, taasisi zote za elimu nchini Ufaransa zimeanza kutekeleza mtaala mpya wa shule wa elimu kuhusu maisha ya kihisia, mahusiano na jinsia! Kutokana na mradi huo kujumuisha juhudi za dhati na za haraka za kupanda dhana za kimagharibi ambazo zinapingana kabisa na dhana za Kiislamu kwa watoto tangu wakiwa wachanga na kwa vijana, changamoto kwa Waislamu nchini Ufaransa zimekuwa ngumu zaidi na jukumu lao ni gumu zaidi katika kuwalinda watoto wao na kuwakinga na uchafu wa Magharibi.

7 / 10603