Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Hakuna Ukombozi Kwenu Watu Wetu Nchini Sudan, Wala Amani Wala Usalama Ila Katika Kivuli cha Utawala wa Kiislamu

Rada: Hakuna Ukombozi Kwenu Watu Wetu Nchini Sudan, Wala Amani Wala Usalama Ila Katika Kivuli cha Utawala wa Kiislamu

Katika historia yote, wingi wa makabila nchini Sudan haujawahi kuwa sababu ya migogoro na mapigano, bali sababu ya hayo ni mzozo mkali wa kisiasa na kijeshi kati ya nchi za kikoloni na vibaraka wao, ambao umeangamiza mazao na vizazi, hasa baada ya kuzigawa nchi na kupanda mbegu za fitina na mapigano ya kikabila na kidugu kama inavyotokea leo, na kama ilivyokuwa ikitokea katika zama za ujahiliya. Tangu kupotea kwa Uislamu na kuangushwa dola yake, watu wamerudi kwenye hukumu za kijahiliya wakipigana kwa misingi ya ukabila ambao Mtume ﷺ alikataza na kusisitiza kuhusu hilo, aliposema: "Mwenye kupigana chini ya bendera ya upofu, akiita ubaguzi au anaghadhibika kwa ajili ya ubaguzi, basi kifo chake ni cha kijahiliya."

97 / 10603