Pamoja na Hadithi Tukufu - Mlango wa Kuondolewa kwa Amana-1
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake.