Pamoja na Hadithi Tukufu - Kutoa Serikali Mali Zake kwa Raia
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, amani iwe juu yenu pamoja na rehema na baraka za Mungu