Pamoja na Hadithi Tukufu - Uongozi - Sehemu ya Tatu
Tunawasalimu nyote wapenzi wetu kila mahali, katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, basi Amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake.
Soma zaidi ←
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Kutoka kwa Aisha ambaye alisema: Kundi la Wayahudi liliomba ruhusa ya kuingia kwa Mtume,Rehema na Amani zimshukie, wakasema: Assamu Alaykum (Mauti iwe juu yenu). Aisha akasema: Bali iwe juu yenu mauti na laana. Mtume, Rehema na Amani zimshukie, akasema: "Ewe Aisha, hakika Mwenyezi Mungu anapenda upole katika jambo lote",
Ndugu wasikilizaji, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji popote mlipo katika kipindi kipya cha programu yenu: Pamoja na Hadithi Tukufu, tunaanza na salamu bora kabisa, Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali katika kipindi kipya cha programu yenu Pamoja na Hadithi Tukufu, na tunaanza na salamu bora kabisa, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.