Pamoja na Hadithi Tukufu - Ewe Aba Umair, Ndege Yule Yuko Vipi?
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.