Pamoja na Hadithi Tukufu za Mtume - Ushauri kwa kila Muislamu!!
Tunakusalimu nyote wapenzi wasikilizaji popote mlipo, tunakutana nanyi katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu za Mtume" na tunaanza na salamu bora na njema, amani iwe juu yenu na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu, na baada ya hayo: