Pamoja na Hadithi Tukufu - Kilicho changu na cha wana wa Abdul-Muttalib ni chenu
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Amani iwe juu yenu na Rehema na Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu.