Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Fahamuni Enyi Waislamu! - Kipindi cha Tisa

Fahamuni Enyi Waislamu! - Kipindi cha Tisa

Fahamuni Enyi Waislamu: Kwamba Khalifa amefungwa katika kupitisha sheria kwa hukumu za kisheria, hivyo ni haramu kwake kupitisha hukumu ambayo haijatokana na dalili za kisheria kwa njia sahihi, naye amefungwa na hukumu alizozipitisha na njia ya utafutaji aliyoifuata, hivyo haijuzu kwake kupitisha hukumu iliyotokana na njia inayokinzana na njia aliyoifuata, wala kutoa amri inayokinzana na hukumu alizozipitisha. Basi Khalifa amefungwa na mambo haya mawili.

Nafaisi Al-Thamarat - Moto Umharamishiwa Jicho Lililotoa Machozi kwa Kumcha Mwenyezi Mungu

Nafaisi Al-Thamarat - Moto Umharamishiwa Jicho Lililotoa Machozi kwa Kumcha Mwenyezi Mungu

Kutoka kwa Abi Rayhana Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Tulitoka na Mtume wa Allah rehema na amani zimshukie katika vita, nikamsikia akisema: "Moto umeharamishwa kwa jicho lililotoa machozi kwa kumcha Mwenyezi Mungu, moto umeharamishwa kwa jicho lililokesha katika njia ya Mwenyezi Mungu, na nimesahau ya tatu na nilisikia baadaye kwamba alisema moto umeharamishwa kwa jicho lililoacha kutazama yale aliyoyaharamisha Mwenyezi Mungu" Ameipokea Ahmad na Al-Hakim na wameisahihisha na wameafikiana na Al-Dhahabi na Al-Nisai na matamshi ni ya Al-Nisai.

Rada: Kuanguka kwa Al-Fashir kunaharakisha mpango wa Marekani wa kuitenga Darfur

Rada: Kuanguka kwa Al-Fashir kunaharakisha mpango wa Marekani wa kuitenga Darfur

Asubuhi ya Jumapili tarehe 26/10/2025, Vikosi vya Msaada wa Haraka vilitangaza udhibiti wao wa Al-Fashir, baada ya kuzingirwa kwa zaidi ya mwaka mmoja, ambayo inamaanisha kuenea kwa ushawishi wao juu ya majimbo yote matano ya Darfur, na kugawanya nchi kati ya mashariki inayodhibitiwa na jeshi la Sudan, na magharibi chini ya udhibiti wa Vikosi vya Msaada wa Haraka. Hivyo, inakuwa wazi kwamba udhibiti wa Vikosi vya Msaada wa Haraka juu ya Al-Fashir ni zaidi ya ushindi katika vita dhidi ya jiji, lakini ni udhibiti juu ya eneo lote kwa njia ya kushangaza.

Rada: Ibrahim Othman (Abu Khalil) Anajibu Uongo wa Mwandishi Ibrahim Habani Kuhusu Ukhalifa

Rada: Ibrahim Othman (Abu Khalil) Anajibu Uongo wa Mwandishi Ibrahim Habani Kuhusu Ukhalifa

Tulisoma makala ya mwandishi Ibrahim Habani kwenye tovuti ya gazeti la At-Tagheer, siku ya Ijumaa, 16 Jumada al-Awwal 1447 AH, sawa na 7/11/2025 AD, yenye kichwa: "Udugu ni Mradi wa Kubomoa Ulimwengu," ilisema: (Ulimwengu umefika wakati wa kuona ukweli jinsi ulivyo, mashirika ya siasa kali za Kiislamu si mradi wa mageuzi, bali ni mradi wa kuvunja nchi kutoka ndani, huanza na kauli mbiu ya kidini na kuishia na mamlaka kamili). Kisha anasema: (Hatari ya siasa kali za Kiislamu si tishio tena kwa nchi moja tu, bali kwa ubinadamu wote, haipingi tu wengine,

Rada: Chini ya Mwamvuli wa Kimataifa na kwa Ushiriki wa Watawala wa Kiislamu, Amerika Inafanya Kazi Kuizingira Gaza na Kuhakikisha Usalama wa Wayahudi

Rada: Chini ya Mwamvuli wa Kimataifa na kwa Ushiriki wa Watawala wa Kiislamu, Amerika Inafanya Kazi Kuizingira Gaza na Kuhakikisha Usalama wa Wayahudi

Vyanzo rasmi vilifichua siku ya Alhamisi kwamba Marekani ilisambaza rasmi rasimu ya azimio kuhusu Ukanda wa Gaza kwa wajumbe wa Baraza la Usalama la Kimataifa, ikitoa wito wa kuanzishwa kwa baraza la amani na mfuko wa ufadhili kwa ajili ya ujenzi mpya, na kubainisha miundombinu ya mipango ya utawala katika Ukanda wa Gaza siku iliyofuata, na kuikabidhi kwa nguvu ya kimataifa inayojumuisha hasa wanajeshi kutoka nchi za Kiislamu. Kifungu cha saba cha rasimu hiyo kinasema kwamba kikosi hicho kitafanya kazi na taasisi ya Kiyahudi na Misri, pamoja na kikosi kipya cha polisi cha Palestina

15 / 10603