Nchi Kumi Zaitikia Uamuzi wa Shirika la Wayahudi Kuhusu Uga Magharibi!
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki ilichapisha taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Bahrain, Misri, Indonesia, Jordan, Nigeria, Palestina, Qatar, Saudi Arabia, Uturuki, Imarati, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu kuhusu uamuzi wa bunge la shirika la Wayahudi kuhusu kuunganisha Ukingo wa Magharibi, na taarifa hiyo ilisema: "(Pande) zinaona tangazo hili kama ukiukaji wa wazi na usiopokeleka wa sheria za kimataifa na ukiukaji wa wazi wa maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, haswa maazimio 242 (1967), 338 (1973) na 2334 (2016),